Legal Services of Missouri Member Login Legal Services of Missouri Member Logoff Legal Services of Missouri Legal Services of Missouri






Usaidizi wa Haki ya Western Missouri

Usaidizi wa Haki ya Western Missouri

 

Pata Usaidizi ya Kufumbua Shida za Haki

 

Usaidizi wa Haki ya Western Missouri ina saidia watu wenye kipato nyonge kufumbua shida za haki zao na daawa za  mahakama.

 

Usaidizi wa Haki ina kubali daawa ambazo ya ambatana na mahitaji ya mtaja na pia kwa upatikanifu wa wasaidizi. Kazi yetu ni ya bila malipo na ni ya siri.

 

Usaidizi wa Haki ita kuandalia mtarjuma wa bure ambaye ata kusaidia kwa  kesi yako, iwapo utahitaji mtarjuma.

 

Matendo/kazi ya Usaidizi wa Haki

 

Mapigano ya kinyumbani: Mahakama ya amrisha uhifadi wa familia wajeuri na watu wengine kutoka kwako, talaka, na amrisho wa uangalizi wa mtoto, ambapo mapigano ya kinyumbani hutendeka; na kudhulumu mtoto na pia kesi za uzembe.

 

Social Security/Faida ya watu wote: Mnyimo wa sosial sekuriti na manufaa ya medicaid kwa watu walemavu ama dhoofu. Mnyimo wa food stamps, faraja ama msaada wa kawaida, na TANF.

 

Uhamiaji (immigration): Maombi ya jamaa, Uraia ya watoto, uingizi katika taifa kwa watu wazima; na mambo ya uhamisho kwa nguvu.

 

Makau: Kutolewa kwa nyumba; manyumba ya watu-woote na HUD mambo ya manyumba ya msaada; nyumba za lilani na milki nyenye hali mbaya.

 

Mahakama ya baraza la mji wa Kansasa City: Uwakilishi wa wakinga ambao walio shitakiwa kwa kuvunja sheria ya mji, ambao wanawezwa kutiwa mbaroni kama wata hukumiwa.

 

Kesi mengine: Mambo ya mhamaji ambaye ni mkulima. Ulinzi na kesi  mengine-  Uliza kama twaweza kukusaidia.

 

Kazi ambaye Usaidizi wa Haki haifanyi: Usaidizi wa Haki haikubali jereha ama hasara ya ubinafsi, jereha ya barabara ama makesi ya makesi ya fidia ya wafanya kazi  ama kutetea makesi ya uhalifu/ujinai. Kwa jumla hatuhusiki na kesi ya talaka kama haihusiani na mapigano ya kinyumbani.

 

 

 

Vile vya kuwasiliana na ofisi ya Usaidizi wa Haki

 

Uhamiaji(immigration) katika missouri ama kansas: (816) 474-9868. Kwa mambo nyengine wasiliana na

 

Katika Kansas City, (816) 474-6750.

Katika St. Joseph, (800) 892-2101.

Katika Joplin, (800) 492-7095.

Katika Warrensburg, (800) 892-2943.

 

Ukipiga simu

 

Mwambiye mtu anaye shika simu ya Usaidizi wa Haki, ya kwamba unahitaji mtarjuma, na pia mwambiye lugha yako. Kama unamjua mtu anaye ongeya kizungu, ita sahilisha mawasiliano ya kwanza, aki kusaidia kwa simu ya kwanza. Kama utahitaji mtarjuma kwa lugha unayo ongeya, Usaidizi wa Haki ita andaa mtarjuma ambaye atakuita kwa simu.

 

 

 

Legal Services Corporation This web site was made possible by support of the Legal Services Corporation.

Note: Use of this site is subject to the 'Terms of Use', 'Privacy', and 'Legal Disclaimer' policies.


Home | Contact Us | About Us | Feedback/Survey | FAQ
Terms of Use | Privacy Policy | Legal Disclaimer | Printable Page
Spanish | Arabic | Somali | Swahili | Vietnamese
 Copyright Copyright Symbol 2002-2007 Legal Services of Southern Missouri®.
(Phone) (417) 881-1397 | (Fax) (417) 881-2159