Usaidizi
wa Haki
ya Western Missouri
Pata Usaidizi ya Kufumbua
Shida za Haki
Usaidizi wa Haki ya Western
Missouri ina saidia
watu wenye kipato nyonge kufumbua
shida za haki zao na
daawa za mahakama.
Usaidizi wa Haki ina kubali daawa
ambazo ya ambatana na mahitaji
ya mtaja na pia kwa
upatikanifu wa wasaidizi. Kazi yetu ni ya bila malipo
na ni ya
siri.
Usaidizi wa Haki ita
kuandalia mtarjuma wa bure ambaye
ata kusaidia kwa kesi yako, iwapo utahitaji
mtarjuma.
Matendo/kazi ya Usaidizi wa Haki
Mapigano ya kinyumbani: Mahakama ya amrisha
uhifadi wa
familia wajeuri na watu wengine
kutoka kwako, talaka, na amrisho
wa uangalizi wa mtoto, ambapo
mapigano ya kinyumbani hutendeka; na kudhulumu mtoto
na pia kesi
za uzembe.
Social Security/Faida
ya watu wote:
Mnyimo wa
sosial sekuriti na manufaa ya
medicaid kwa watu walemavu ama
dhoofu. Mnyimo wa food stamps, faraja ama msaada
wa kawaida, na TANF.
Uhamiaji (immigration):
Maombi ya jamaa,
Uraia ya watoto, uingizi katika taifa kwa watu wazima; na mambo ya uhamisho kwa
nguvu.
Makau: Kutolewa kwa
nyumba; manyumba ya watu-woote na
HUD mambo ya manyumba ya msaada; nyumba
za lilani na milki nyenye
hali mbaya.
Mahakama ya baraza la mji
wa Kansasa City:
Uwakilishi wa wakinga ambao walio
shitakiwa kwa kuvunja sheria ya mji, ambao
wanawezwa kutiwa mbaroni kama wata hukumiwa.
Kesi mengine: Mambo ya mhamaji ambaye ni mkulima.
Ulinzi na kesi mengine- Uliza kama twaweza kukusaidia.
Kazi ambaye Usaidizi wa Haki haifanyi:
Usaidizi wa Haki
haikubali jereha ama hasara ya
ubinafsi, jereha ya barabara ama
makesi ya makesi ya fidia
ya wafanya kazi ama kutetea makesi ya uhalifu/ujinai. Kwa jumla hatuhusiki
na kesi
ya talaka kama haihusiani
na mapigano ya kinyumbani.
Vile vya kuwasiliana na
ofisi ya Usaidizi wa Haki
Uhamiaji(immigration) katika missouri ama
kansas:
(816) 474-9868. Kwa mambo nyengine
wasiliana na
Katika
Kansas City,
(816) 474-6750.
Katika St. Joseph,
(800) 892-2101.
Katika Joplin, (800)
492-7095.
Katika
Warrensburg, (800) 892-2943.
Ukipiga simu
Mwambiye mtu anaye shika simu
ya Usaidizi wa Haki,
ya kwamba unahitaji mtarjuma, na pia mwambiye
lugha yako. Kama unamjua mtu anaye ongeya
kizungu, ita
sahilisha mawasiliano ya kwanza, aki kusaidia kwa simu
ya kwanza. Kama
utahitaji mtarjuma kwa lugha
unayo ongeya, Usaidizi wa Haki
ita andaa mtarjuma ambaye atakuita kwa simu.